Duniani

Warembo kwenye michezo ya hatari !!.. cheki walivyokatisha juu ya kamba na high heels.. (+Video)

on

Huu mchezo wa kutembea juu ya kamba sio mchezo wa kawaida, hata mwanaume kupata ujasiri wa kutembea juu ya kamba yataka moyo !!

Lakini wapo ambao wako poa kabisa na wanajiamini kwamba wanaweza kukatisha bila hofu yoyote, unajua kwamba kuna wanawake waliothubutu kuvaa high heels na kutembea juujuu kwenye kamba ??!!

Wacheki hapa mtu wangu alafu uniambie kama wewe unaweza kuwa na ujasiri huo ?!!

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments