Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Jinsi zawadi zilivyozua Hekaheka Kigogo Dar.. Sherehe yafanyika kurudisha zawadi…
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > HekaHeka > Jinsi zawadi zilivyozua Hekaheka Kigogo Dar.. Sherehe yafanyika kurudisha zawadi…
HekaHeka

Jinsi zawadi zilivyozua Hekaheka Kigogo Dar.. Sherehe yafanyika kurudisha zawadi…

March 30, 2015
Share
1 Min Read
SHARE

bmx-bike-sunday-bikes-primer-16-21Story iliyosikika kwenye Hekaheka ya leo inahusu mama ambaye aliwahi kumpa zawadi rafiki yake baiskeli kwenye sherehe ya mtoto wake pamoja na vitu mbalimbali, baadae kukaanza story kwamba aliyetoa zawadi hizo alikuwa akimtangazia vibaya kwa watu.

Mama huyo aliyetoa zawadi alikuwa akisambaza taarifa kwamba alitoa zawadi kitambaa cha sare ya nguo ya shule kwenye sherehe ya mtoto wa mama huyo mwingine, lakini mama wa mtoto huyo hakumtuza vitu vya thamani kama ambavyo yeye alitoa.

Mama huyo amesema rafiki yake alimtaarifu kuhusu sherehe ya mwanae lakini akamwambia hana kitu kwa muda huo kwa ajili ya kuandaa zawadi, akampelekea zawadi ya kitambaa lakini baadae akapata taarifa kwamba anatangazwa kwamba hana fadhila.

Alipopata taarifa za maneno hayo aliamua kununua vitu alivyopewa zawadi hizo na kukodi ngoma ya mdundiko kwa ajili ya kwenda kumrudishia, alipofika nyumbani kwake mwanamke huyo hakutoka ndani, akaamua kukabidhi vitu hivyo kwa majirani ili akitoka wampatie.

Bonyeza play hapa chini kusikiliza Hekaheka yote…

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza>>>twitter Insta Facebook

You Might Also Like

HEKAHEKA: Mwenyekiti atuhumiwa kuua kwa kutumia nyundo DSM

HEKAHEKA: Chatu asababisha Wanaume kulala nje ya ndoa zao DSM

HEKAHEKA: Mwanaume aelezea jinsi Mkewe alivyopotea na kukuta mwili wake umeliwa

HEKAHEKA: Watu wamechanganya Makaburi, Ugomvi umezuka

HEKAHEKA: Kijana mkorofi aliyemchoma kisu mwenzie Jichoni

TAGGED: Hekaheka
Millard Ayo March 30, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Time ya kuiona Video ya Linah Feat. Christian Bella (Hello)…
Next Article Unadhani ile kauli ya James Bond wa zamani ilimbagua Idris Elba?
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?