HekaHeka

Sikiliza Hekaheka hii ambayo wananchi waliamua kupaza sauti zao.

on

metal-radio-stationMatukio ya watoto kunyanyaswa na wazazi wao yamekua yakitokea mara kwa mara na pengine huwa mengine hayatangazwi kulingana na wananchi wa eneo hilo,Sasa hawa ni wananchi walioamua kutoa sauti zao kwa kupaza kuhusu unyanyasaji wa mtoto huyu.

88.1 Clouds Fm inasikika ukiwa Mwanza.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments