HekaHeka

Ulisikiliza Hekaheka ya leo April 17?ipo hapa

on

images33Hii imetokea hapa hapa 88.5 Dar es salaam ambapo ni kuhusu mama aliyekuwa akimtesa mtoto wa dada yake ambaye alikabidhiwa baada ya dada yake kufariki,majirani wamejikusanya hadi kwa huyo dada kwenda kumsema tabia hiyo.

88.5 Clouds Fm inasikika ukiwa Morogoro.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments