HekaHeka

Muendelezo wa ile Hekaheka iliyoanza August 06 ni huu.

on

tablemix2Inawezekana hukusikiliza kilichoanza kutokea jana sio mbaya nikikukumbusha japo kiufupi ingawa unaweza pia kuisikiliza hiyo hekaheka ya jana August 06 hapa hapa ni kwamba kuna mwalimu mkuu aliwaamrisha watoto kumzomea mama wa mwanafunzi mwenzao.

Jana tukapata nafasi ya kusikiliza upande wa mama na mtoto pamoja na mwalimu mwenyewe ambaye ni mwalimu mkuu wa shule hiyo ambayo hakutoa ushirikiano mzuri kwa idara ya Hekaheka.

Leo Hekaheka hii ina muendelezo wake na unaweza kuusikiliza hapa hapa millardayo.com kama kawaida.

87.8 Clouds Fm inasikika ukiwa Mbeya.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments