HekaHeka

Ulimis Hekaheka ya Feb 03 namna dada alivyoibiwa pesa zake,sikiliza hapa..

By

on

Radio-On-Air-300x199Mitaani kuna mazingira mengi sana ya uibiwaji pesa mazingira mengine yakihusisha pia imani za kishirikina huyu ni moja kati ya wadada waliokutwa na kisanga hiko cha kupoteza hela kwenye mazingira ya kutatanisha,samahani sana mtu wangu wa nguvu kwa kukucheleweshea lakini nimeona si jambo jema ikupite sikiliza kupitia 88.4 Clouds Fm Masasi.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments