HekaHeka

Umesikia Hekaheka ya leo kuhusu baba anayefanana na mtoto asiye wake.

By

on

images2Mitaani ndiko kunakotokea mambo mengi ya kuchekesha kuelimisha na kufundisha pia,hii Hekaheka inamhusisha mzazi mmoja aliyejitolea kumlea mtoto ambaye si mtoto wake wa damu lakini wanafanana sana,kiasi majirani wamemtilia shaka jamaa huyo baba kaongea kuhusu hilo,sikiliza kupitia 88.0 Clouds Fm Tabora.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments