HekaHeka

Ukamilifu wa stori kuhusu yule mtoto aliyechinjwa Mbagala iko hapa.

By

on

radioJana ulisikiliza majirani na baadhi ya wazazi wa mtoto aliyechinjwa na ustaadhi Mbagala dar es salaam,Hekaheka ya leo inakupa nafasi ya kuwasikiliza wazazi wa huyu mtoto akiwemo baba mzazi wa mtoto huyo aliyechinjwa na hapa kaongelea anachokifahamu toka mwanzo hadi mwisho.

Sikiliza kupitia 89.3 Clouds Fm Kigoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments