HekaHeka

Sikiliza Hekaheka hapa inayomhusu Dada aliyejifungua na kumtupa mtoto.

By

on

onaKumekua kukiripotiwa vitendo vingi sana vya unyanyasaji wa watoto na vya kinyama,hii nayo ipo kwenye orodha ya habari hizo baada ya msichana mmoja kujifungua mtoto na kisha kumtupa muda mfupi baada ya kujifungua na imetokea hapa 88.5 Dar es salaam eneo la Kawe.

Sikiliza kupitia 88.5 Clouds Fm D’salaam.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments