HekaHeka

Hatimaye Mke nae amjibu Mumewe,sikiliza hapa Hekaheka ya leo.

By

on

41M-on-airHii hekaheka imeanza jana February 27 baada ya Mume kutoa taarifa za kusalitiwa na mkewe mara kwa mara huku muda mwingine mkewe akimtumia picha kumuonyesha anachokifanya huko alipo ambapo si kitu cha kawaida,Mke kapatikana na leo kalielezea kwa undani tukio hili.

Sikiliza kupitia 88.0 Clouds Fm Tabora.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments