HekaHeka

Pale wivu wa mapenzi unaposababisha ugomvi Club …#HEKAHEKA

on

preview2Jamaa mmoja alikuwa na tabia ya kwenda club na mke wake lakini wamekuwa wakigombana mara kwa mara kutokana na wivu kila mmoja anapomuona mwenzake akicheza na mtu mwingine.

Siku moja mwanamke alienda club akiwa na marafiki zake baada ya mume wake kumwambia yuko mbali, akiwa huko akashangaa kutumiwa message na mtu asiyemjua na kuanza kumtongoza, alipotoka nje akamuona mume wake akiwa na kijana mmoja alipofuatilia akagundua mume wake alikuwa anamtuma jamaa huyo kama kumtega kuona kama atamkubali jambo lililozua ugomvi mkubwa.

Kama ulipitwa na Hekaheka bonyeza play hapa chini kuisikiliza…

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments