Premier Bet
TMDA Ad

HekaHeka

Msanii ALICE wa THT alikuwa zake jukwaani, unajua #HEKAHEKA iliyomkuta? Isikilize hapa

on

 IMG-20140508-WA0001

Kulikuwa na story nyingi kwenye Hekaheka.. kukawa na ugeni wa msanii wa THT, anaitwa Alice  akasimulia Hekaheka yake aliyokutana nayo akiwa kwenye show.

Alice anasema siku hiyo alikuwa amevaa viatu virefu kumbe kiatu kimoja kilikuwa na tatizo kwenye kisigino.. basi wakati anaendelea na show akaona bora aendelee kuimba huku akiwa amesimama sehemu moja mashabiki walio.

Ishu ikawa pale msanii mwenzake ambaye alikuwa anaimba nae akamfuata akamshika, kwa bahati mbaya akateleza, akaanguka.. watu walibaki tu wanashangaa kinachoendelea.

Msikilize Alice kwenye Hekaheka hapa..

millardayo.com ndio sehemu yako kuzipata story zote mtu wangu, unaweza kuwa karibu zaidi na mimi kwa kujiunga kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments