HekaHeka

Mtoto aliyepotea apatikana akiwa amefariki #Hekaheka

on

blogger-image-69985728Hekaheka ya leo inahusu mtoto aliyepotea  katika mazingira ya kutatanisha na familia yake kufanya jitihada za kumtafuta bila mafanikio, baadae  mwili wake kukutwa umefukiwa kwa matofali katika nyumba ambayo haijamalizika katika ujenzi.

88.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Mtwara.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments