Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Alisingiziwa ameiba simu ya bosi wake, kilichofuatia ni hiki kwenye #Hekaheka (Audio)
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > HekaHeka > Alisingiziwa ameiba simu ya bosi wake, kilichofuatia ni hiki kwenye #Hekaheka (Audio)
HekaHeka

Alisingiziwa ameiba simu ya bosi wake, kilichofuatia ni hiki kwenye #Hekaheka (Audio)

September 17, 2015
Share
1 Min Read
SHARE

Kila siku Hekaheka imekua ikituletea mfululizo wa matukio mbalimbali ambayo yanatokea kila siku… Kazi ya Team nzima ya Leo Tena @CloudsFM ni kufanya kuyafatilia matukio hayo kila siku ya kuyasogeza kwenye Hekaheka… najua wapo ambao wanapitwa na Hekaheka, ninachokifanya pia ni kurekodi na kukuwekea hapahapa kila siku mtu wangu.

Leo kwenye Leo Tena ni Hekaheka kutoka Mwananyamala Dar, ambapo kuna mama mmoja aliajiriwa na bosi wake kama mfanyakazi wa ndani… Mama huyo amesimulia na kusema amefanya kazi tangu mwaka 2014 lakini siku chache zilizopita alijikuta akipata mateso baada ya kusingiziwa kuwa ameiba simu ya bosi wake huyo.

Mwanamke huyo amesema siku ya Jumapili alijikuta akipigwa na Bosi wake kwa tuhuma kwamba ameiba simu.

Msikilize akizungumza na Geah Habib kuhusu tukio zima lilivyokuwa…

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi>>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata piausisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

You Might Also Like

HEKAHEKA: Mwenyekiti atuhumiwa kuua kwa kutumia nyundo DSM

HEKAHEKA: Chatu asababisha Wanaume kulala nje ya ndoa zao DSM

HEKAHEKA: Mwanaume aelezea jinsi Mkewe alivyopotea na kukuta mwili wake umeliwa

HEKAHEKA: Watu wamechanganya Makaburi, Ugomvi umezuka

HEKAHEKA: Kijana mkorofi aliyemchoma kisu mwenzie Jichoni

TAGGED: Hekaheka
Millard Ayo September 17, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Cheki majibu ya staa wa movie Nigeria kwa wanaosema ‘hafuati uzazi wa mpango’… (Video)
Next Article Jamaa alivyoamua kujichora tattoo list ya mastaa wa soka mwilini, kisa ni love kwa Man City? (Pichaz)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?