HekaHeka

Mwendelezo wa Hekaheka ya mama aliyetelekezwa na mume baada ya kujifungua.. (+Audio)

on

Hii stori ya ‘Hekaheka‘ ilianza kusikika jana December 22 2015 ambapo mwanamke alikuwa na malalamiko ya kukimbiwa na mpenzi wake baada ya kujifungua Dar es Salaam.. kibaya zaidi ni kwamba mwanamke huyo hakuwa anafahamiana na ndugu yoyote wa mwanaume huyo.

Kikubwa kwa sasa mwanamke huyo aliongea kwamba anahitaji msaada wa vitu vingi ikiwemo makazi ya kuishi, chakula na mahitaji mengine ili aweze kulea watoto wake wawili huku huyo mmoja akiwa bado ni mchanga aliyetoka kuzaliwa.

Tayari watu wameanza kujitolea misaada mbalimbali kwa mama huyo.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments