HekaHeka

Sehemu ya 3 ya Hekaheka, Mama wa mtoto na shangazi wamesikika leo…(Audio)

on

 

mt

Sehemu ya tatu ya hekaheka ya mtoto anayelelewa na dokta baada ya kuzaliwa inaendelea, leo mama wa mtoto amepatikana na kuzungumzia tukio zima.

Mama wa mtoto aitwaye Irene alirudi jumapili iliyopita akitokea chuo Afrika Kusini na kumpigia dokta akitaka apewe mtoto wake lakini akaishia mikononi mwa Polisi na hadi sasa yupo kituo cha Oysterbay wakati mtoto akichukuliwa na ustawi wa jamii.

Pia Dokta amefunguliwa mashtaka ya kuishi na mtoto wa watu kinyume cha sheria na kuisaidia Polisi kumpata mama wa mtoto.

Dada yake amezungumza na kusema hawakuwa wakifahamu kama mdogo wao ana ujauzito na hadi sasa baba yake wale mchumba wa mdogo wake hawafahamu lolote kuhusu jambo hilo.

Baba wa mtoto amesema mama yake anayeishi Nairobi amekubali kumlea huyo mtoto.

Wasikilize hapa..

 

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments