HekaHeka

Stori kuhusu ‘Maalim’ aliyeoa bila mahari,na kuwaibia wake zake imeendelea leo #Hekaheka

on

MaalimHekaheka ya leo Novemba 4 ni muendelezo wa Hekaheka ya jana inayomhusu Yule ‘Maalim’ anayetuhumiwa kwa kuoa na kuacha hatimae ashikiliwa na Jeshi la Polisi, Mke aliyeolewa bila mahari na kuibiwa alezea mkasa mzima.

Unajua njia ambazo amekuwa akizitumia ‘Maalim’ kuwarubuni wanawake hao mpaka kufanikiwa kuwaoa?
Kwenye Hekaheka hii utamsikia mwanamke ambaye Bwana Maalim amewahi kumuoa na ndoa yao kudumu kwa mwezi mmoja .

Ndoa hiyo imevunjika baada ya jamaa huyo kumwibia mkewe vito vya Dhahabu na kumtapeli fedha
sikiliza Hekaheka ya leo iko hapa.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments