HekaHeka

Mwendelezo wa Hekaheka ya jana, kasikika dokta na sauti ya mama wa mtoto kwenye simu..(Audio)

on

doc

Leo ni mwendelezo wa Hekaheka ya jana kuhusu mama kujifungua kisha mtoto wake kubaki na daktari sababu ikitajwa alishindwa kumlipa dokta kiasi cha pesa walichokubaliana..baada ya jana kusikika raia mwema akisimulia tukio zima, leo amesikika daktari ambaye alimchukua mtoto huyo.

Anasema alikaa na huyo mtoto kwa siku saba baada ya kuzaliwa alimtafuta mama yake bila mafanikio na ikabidi awe anampeleka kliniki mwenyewe na siku iliyofuata alimpigia simu na namba nyingine akimtaka mtoto wake na hadi sasa bado yupo na mtoto huyo ambaye ametimiza miezi tisa.

Pia imesikika sauti ya Dokta na mama wa mtoto aitwaye Irene wakibishana kuhusu mtoto huyo na hatma yake lakini hawajafikia makubaliano.

Msikilize hapa akizungumza na Geah…

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments