HekaHeka

Hekaheka ya January 9 2014, ya huyu Mwanamke mwenye stress isikilize hapa

on

lightHehakeha ya Leo Tena Clouds FM ( 104.4 Dodoma) inafanywa na Sakina kwa sasa ikiendeleza kama kawaida ripoti za matukio ya mtaani tunamoishi kila siku, hii ni kali pia ya kufungulia mwaka juu ya aina ya wizi alioufanya Mwanaume kwa Mwanamke ambaye alijua kapumzikia hapo kimapenzi.

Bonyeza play hapa chini kusikiliza.

Tupia Comments