HekaHeka

#Hekaheka….Fursa za wanawake, kituo cha Polisi Stakishari kuvamiwa (Audio)

on

hkahkaajuly13

Miaka ya sasa wanawake wamekua wakijishughulisha na kazi mbalimbali bila kujali ni katika mazingira gani tofauti na zamani.

Wanawake wengi wa sasa wamekua wakijiamini na kufanya kazi nyingi ikiwemo ya ukonda na hata kupiga debe katika masoko mbalimbali ili kujipatia kipato.

Baada ya wanawake kuonekana kujitokeza na kufanya vizuri katika ngazi za juu ya siasa, Hekaheka imezungumzia jinsi wanawake wa sasa walivyo na uwezo wa kufanya kazi tofauti ikiwemo kuwa makonda, kupiga bebe katika masoko bila kuangalia mazingira.

Pia hehaheka imezungumzia tukio la kuvamia kituo cha polisi cha Stakishari,Dar es salaam na inasemekana watu nane wamepoteza maisha wakiwemo askari wanne na raia ambao walikuweko eneo hilo wakifungua kesi.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments