HekaHeka

Watoto hawawezi kutembea wala kukaa..Mama kapiga hodi kwenye #Hekaheka (Audio)

on

hureee

Hekaheka ya leo ilikua ikifanya mahojiano na mama mmoja ambaye watoto wake wawili wa kiume wana matatizo.

Mama huyo anasema mtoto wake wa kwanza mwenye miaka 12 hawezi kukaa wala kusimama zaidi ya kubebwa mgongoni muda wote na hospitali wamemwambia mwanaye ana tatizo la utindio wa Ubungo..ukiachilia huyo anasema huyo wa pili mweye miezi saba na yeye anaelekea kuwa na tatizo kama hilo.

Anasema mpaka sasa amekua akipata mateso makubwa ya kuwalea watoto wake hao kutokana na kutokuwa na uwezo na wanahitaji kuhudumiwa muda wote.

Msikilize hapa…

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie

Tupia Comments