Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Nuru the Light na #Hekaheka ya kukimbiwa na marafiki zake baada ya kuletwa bili mezani… (Audio)
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > HekaHeka > Nuru the Light na #Hekaheka ya kukimbiwa na marafiki zake baada ya kuletwa bili mezani… (Audio)
HekaHeka

Nuru the Light na #Hekaheka ya kukimbiwa na marafiki zake baada ya kuletwa bili mezani… (Audio)

September 11, 2015
Share
1 Min Read
SHARE

Hekaheka ya leo inamuhusu msanii Nuru The Light… anasema wakati anakuja Tanzania akitokea Sweden alialikwa kwenye harusi na akakutana na kijana mmoja ambaye alitokea kumpenda sana.. baada ya muda yule kaka alianza kumsumbua kwenye simu sana kitu ambacho hakupendezwa nacho.

Siku moja usiku akiwa amelala alipigiwa simu na mwanamke mmoja akidai ni mke wa yule kaka na kuanza kumtukana akidai kuwa ana uhusiano na jamaa huyo ambae ni mpenzi wake… Nuru anasema alichoamua kufanya ni kumuomba huyo dada wakutane ili waongee vizuri kuhusu malalamiko yake… hiyo ishu ikaisha baada ya mwanamke huyo kujua ukweli kwamba hakuna kinachoendelea.

Ishu nyingine alliyowahi kukutana nayo Nuru, anasema aliwahi kutoka na marafiki zake kwenda kuenjoy, baadae marafiki zake walimkimbia na kumwachia bili alipe pekeyake… Kulipia bili haikuwa kitu kigumu kwake lakini alibaki anashangaa, inakuwaje washkaji wamkimbie na kumwachia bili ??

Nuru kwenye Hekaheka, sauti yake nikairekodi… ukiplay hapa unamsikiliza mwenyewe anavyosimulia mtu wangu !!

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

You Might Also Like

HEKAHEKA: Mwanaume aelezea jinsi Mkewe alivyopotea na kukuta mwili wake umeliwa

HEKAHEKA: Mwendelezo Kichanga cha miezi miwili kilichopotea kimepatikana kiutata

HEKAHEKA:Mwanamke aliyepokonywa mtoto wa miezi 10 mpaka leo ana miaka mitatu

HEKAHEKA: Mwanaume amnyonga mkewe na kisha ajinyonga mwenyewe

HEKAHEKA: Anyang’anywa mali na ndugu wa mume kabla ya kufahamu kifo cha mumewe

Millard Ayo September 11, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Hii ni nyingine mpya kutoka kwa Wakazi; ‘Amka Mtanzania’ (Video).
Next Article Mama wa Ray C kuhusu mwanae, Barakah Da’ Prince kwenye ugomvi wa Edo Boy na Young Killer? Jux Je?..#255
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?