April 21 2016 Kupitia Hekaheka ya Clouds FM ni kuhusiana na mama aliyekamatwa katika hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es salaam akituhumiwa kwa kosa la kutaka kuiba mtoto kwenye wodi ya wazazi, millardayo.com imekurekodia full stori kutoka kwenye HekaHeka ya leo.
Baada ya kuhojiwa kwanini ameamua kufanya kitendo kama hicho, mama huyo alitoa kauli ya kwamba……… ‘nimemkumbuka mtoto wangu‘>>>Mama anayetuhumiwa
Mpaka sasa mama huyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi na uchunguzi unaendelea.
STORI KAMILI BONYEZA PLAY HAPA CHINI NIMEKUWEKEA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
ULIMISS SHOW YA YOUNG DEE NA PAM D MAKAMUZI YA HATARI KWENYE STAGE ITAZAME HAPA…