HekaHeka

Ushawahi kusikia mvua inayonyesha sehemu moja tu ndani ya nyumba?Sikiliza heka heka hapa.

on

on

Uswahilini hakuishiwi vituko kila kukicha,hiki ni kipya ambacho kimetokea huko Mwananyamala inamhusu mpangaji ambae kakutana na kituko cha aina yake kwa kunyeshewa na mvua kitandani tu,sikiliza kupitia 104.1 Clouds Fm Bukoba.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments