HekaHeka

Umesikia muendelezo wa ile Hekaheka iliyokua ikimhusu yule ‘Dobi’ isikilize hapa.

By

on

images2Wiki chache nyuma kupitia Hekaheka kulikua na yule mfanyakazi wa Serikali aliyeitelekeza familia yake na kuhamia kwa mtu aliyetajwa kuwa dobi,ipo pia hapa hapa millardayo.com kama uliimis waeza isikiliza,huu ni muendelezo wake sikiliza kupitia 104.4 Clouds Fm Dodoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments