HekaHeka

hivi ndivyo wanaume wawili walivyolea mtoto mmoja bila wao kujijua,sikiliza Hekaheka ya leo hapa.

By

on

41M-on-airUswahilini kuna namna nyingi sana ya jinsi maisha ya huko yanvyoendeshwa,huu ni mfano wa maisha yatokeayo kila siku kwenye makazi yetu tunayoishi,hawa jamaa wamejikuta wanalea mtoto mmoja huku kila mmoja akiamini mtoto ni wake,sikiliza kupitia 96.0 Clouds Fm Tanga.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments