HekaHeka

Huyu ndiye jamaa aliye tayari kumuua hata mama yake ili apate utajiri sikiliza kupitia Hekaheka hapa.

By

on

41M-on-airBado tunasikia stori na zingine watu wamekua wakitoa ushuhuda kuhusu mtu anavyokuwa tayari kufanya kitu chochote ili apate mali,huyu ni jamaa ambaye kamtamkia Mke wake kuwa kuhusu suala la utafutaji yuko tayari hata kumtoa mama yake mzazi ili tu apate mali sikiliza kupitia 104.4 Clouds Fm Dodoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments