HekaHeka

Huu ndiyo wizi unaotumika kwenye mitungi ya Gesi.

By

on

gesiiiiKama mtumiaji wa Gesi labda ukiwa nyumbani au kazini kuna wakati unahisi labda gesi inawahi kuisha au mara kadhaa umekua ukiwalaumu wapishi au wasichana wa kazi kwa kuhisi wana matumizi mabaya ya gesi,kupitia Hekaheka ya leo kuna mtu anatoa ushuhuda juu ya kitu kinachofanywa na wasambazaji wa gesi hizo.

Sikiliza kupitia 104.1 Clouds Fm Bukoba.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments