HekaHeka

Sikiliza Hekaheka ya leo hapa.

By

on

MINOLTA DIGITAL CAMERAHii Hekaheka ilishatokea wiki chache nyuma zikimhusisha msichana wa umri wa miaka 13 ambaye alitangazwa kupotea,hatimaye kapatikana lakini sehem aliyokuwepo kwa kipindi chote hiko ndipo utata unapoanzia,kuna kitu pia kawashangaza watu waliomkuta vyote utavisikiliza,sikiliza kupitia 88.4 Clouds Fm Mtwara.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments