HekaHeka

Umesikia kuhusu Housegirl aliyetaka kumuua mtoto bila sababu?sikiliza hapa.

By

on

freequencHivi ni vitu ambavyo vinatokea mitaani na kwenye majumba mbalimbali ambapo miongoni mwa wasaidiz wa kazi za nyumbani[Housegirl]wamekua si waadilifu na kazi yao hali inayowapelekea kufanya vitu tofauti na vilivyowapeleka kwenye nyumba hizo,hii ni Hekaheka ya leo ambayo kuna housegirl alitaka kumuua mtoto bila sababu.

Sikiliza kupitia 89.8 Clouds Fm Singida.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments