HekaHeka

Sikiliza kituko alichokifanya Mke mkubwa kwa Mke mdogo kupitia Hekaheka ya leo.

By

on

micHizi ni kati ya stori ambazo unapata kuzisikiliza kupitia kisehemu cha Hekaheka kupitia Leo Tena ya Clouds Fm na ni stori ambazo hutokea uswahilini na mitaani tunakoishi,kutana na hii ambayo inahusisha wake wenza ambapo kioja alichokifanya Mke mkubwa kinaweza kukuacha hoi.

88.1 Clouds Fm unasikiliza ukiwa Mwanza.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments