HekaHeka

Kama ulimis Hekaheka ya leo March 25 ipo hapa.

By

on

on airHii ni Hekaheka iliyotokea wiki kadhaa nyuma ambayo iliwahusisha vijana waliochukuliwa Songea wakiambiwa wanapelekwa Arusha kwa ajili kufanya kazi,ikatoka taarifa kuwa makubaliano waliyokubaliano siyo yale waliyoyakuta huko,huu ni muendelezo wake sasa baada ya upande wa kwanza kuongea sasa huu ni upande wa pili.

96.5 Clouds Fm inasikika ukiwa Geita.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments