HekaHeka

Kuhusu mtoto asiyezidi miaka 10 anayehudumia ‘Guest House’ sikiliza Hekaheka ya leo hapa.

on

In radio studioKwa siku za hivi karibuni idara ya Hekaheka imekua ikipokea taarifa za watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na wengi wao hua wanaonekana kunyanyaswa au kufanyishwa vitendo ambavyo hawastahili,leo ni mpya nyingine ambayo inamhusu mtoto ambaye kwa kumtazama hazidi  miaka 10.

96.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tanga.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments