HekaHeka

Hii hekaheka ya mchawi kudondokea ndani ya nyumba ya mtu umeipata?

By

on

On-AirIdara ya Hekaheka kila siku haikauki habari ambazo muda mwingine zinasisimua na kukuacha na maswali mengi sasa hii ni nyingine tena ambayo imetokea Mtaa wa maneno,Temeke D’salaam baada ya kudondoka ameongea mengi ikiwa ni pamoja na kuahidi kuwafufua marehemu wa familia hiyo.

Sikiliza Clouds Fm 88.1 ukiwa Mwanza.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments