HekaHeka

Msichana mwingine aliyeamua kumtelekeza mtoto Dar es salaam #Hekaheka

on

niceeeStori za kutupwa au kutelekezwa kwa watoto wadogo zimekua zikiripotiwa mara kwa mara,wapo wasichana ambao baada ya kujifungua huwatelekeza watoto wao.

Hekaheka ya Clouds Fm leo iko na stori ya msichana ambaye aliamua kumuacha mtoto wake na kisha kuondoka na mpaka sasa hajulikani alipo,mtoto ambaye kaachwa ana umri wa mwaka 1, bonyeza play hapo chini kusikiliza Hekaheka.

Unaweza pia kuisikiliza Clouds Fm ukiwa Tabora mtu wangu kupitia 88.0

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye TwitterFacebook na Instagram kwa kubonyezahapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahaukusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video yaAyoTVikufikie

Tupia Comments