HekaHeka

Sikiliza jinsi mtoto aliyefariki alivyokuwa akiwatokea watu wake wa karibu?kupitia Hekaheka ya leo.

on

onnnBaadhi ya vitu ambavyo ukivisikia unaweza kushtushwa pengine isiwe ukubwa wa taarifa hiyo lakini mazingira ya tukio ndiyo yanaweza kukushangaza,unaposikia mtu amefariki halafu akaenda kwa Mganga kisha akaambiwa kuwa mtu huyo hajafa unaweza kuwa umesikia mara kadhaa sasa hii imekuwa ikiwatokea hadi watu wa karibu kutokewa na marehemu huyo.

96.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tanga.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments