Premier Bet
TMDA Ad

HekaHeka

Hekaheka May 19 2014, Dada mjamzito alietengeneza kadi za kliniki zenye majina ya baba wawili

on

onnnKwa hali ya kawaida utajisikiaje ukigundua mpenzi wako ana ujauzito lakini sio wako? kadi ya clinic ina jina lako…… hii ya leo imetokea kwa dada mmoja mkazi wa Dar es salaam baada ya kubeba ujauzito na alichoamua kukifanya ni kutengeneza kadi mbili zenye majina tofauti ya baba.

104.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Dodoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Kama unataka stori kama hizi zisikupite ungana na mimi kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA, pia FACEBOOK & INSTA ili niwe nakutumia kila stori inayonifikia.

 

Tupia Comments