HekaHeka

Mwendelezo wa Hekaheka ya jana huu hapa.

on

Radiooooooooooooooooooooooooo

Hekaheka hii ni muendelezo wa ile Hekaheka ya jana ilayomuhusu  mama aliyekopa majirani zake na kutaka kuhama nyumba usiku, mume azungumza sababu ya kuhama usiku, ashangazwa jina lake na simu yake kutumiwa na mkewe kufanya utapeli huo.

Sikiliza kupitia 87.9 Clouds Fm Moshi.

Bonyeza play kusikiliza.

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments