HekaHeka

Sikiliza Hekaheka ya leo ni kuhusu dada aliyekua na ujauzito bila kujijua

on

metal-radio-stationIdara ya Hekaheka leo ina stori kuhusu Dada wa kazi aliyekuja  mjini kufanya kazi lakini tayari akiwa na ujauzito bila kujijua hali hiyo baada ya miezi kadhaa amejifungua sasa sikiliza kilichomtokea.

hk

87.5 Clouds Fm inasikika ukiwa Shinyanga.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments