HekaHeka

Sikiliza mbinu aliyoitumia huyu dada kunasa ‘mchepuko’ wa mumewe #Hekaheka

on

brbrKila siku duniani kumekua kukiibuka vitu vingi sana ambavyo baadhi yake huwa ni vile vya kufurahisha lakini wakati huo huo vinakujenga pia kila unaposikia vimetokea,hii imetokea Dar ya mke aliyeamua kumfatilia ‘Mchepuko’ wa mumewe.

Mbinu hii aliyoitumia imekua rahisi kwake kumjua na kumkamata mwanamke ambaye alikua akihisi ana uhusiano wa kimapenzi na mume wake.

104.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Dodoma.

Tupia Comments