HekaHeka

Kutana na hii ya mtoto wa miaka 13 aliyetolewa akicheza na kuozeshwa.

on

284562Unaweza kudhani ni stori za kutengenezwa lakini hii imetokea 88.4 Mtwara ambapo unaambiwa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 13 aliyeolewa na mwanaume mwenye mke na watoto 3.

Kinachoshtua na muda mwingine unaweza kushangaa ni mazngira ya ndoa hiyo ambayo unaambiwa mtoto huyo[bi.harusi] alikuwa nje na rafiki yake wakicheza Rede mchezo unaochezwa na watoto wa kike sana baadae akaitwa na baba yake akaambiwa akanawe miguu kwani siku hiyo anaolewa.

Husna Abdul yuko Mtwara na pia alifanikiwa kuongea na mtoto huyo aliyeolewa kisha kukimbia na kurudi kwa mama yake baada ya siku 3 tu tangu aolewe.

88.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Mtwara.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments