HekaHeka

HEKA HEKA: Jirani adaiwa kumtumbukiza mtoto kwenye chemba ya choo

on

May 4, 2017 kupitia Heka heka ya Leo Tena ya Clouds FM mtangazaji Geah Habibu ametuletea stori ambayo imetokea Kunduchi ambako mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kuleta madhara baada ya mtoto kutumbukia kwenye chemba ya choo.

Baada ya tukio hilo la mtoto kutumbukia kwenye chemba ya choo, lawama zilielekezwa kwa jirani akidaiwa kumtumbukiza mtoto huyo kwenye chemba ya hiyo kwa sababu ni chemba ya nyumba yake.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full story

Hekaheka ya aliyejifungulia kwenye choo cha kanisa na kukiacha kichanga

Soma na hizi

Tupia Comments