Michezo

“Hela alizotoa Rais Magufuli hazikuingia kwenye akaunti ya TFF”

on

Shirikisho la soka nchini (TFF) limesema Shilingi Bil 1 zilizotolewa na Rais Magufuli kwaajili ya maandalizi ya Fainali za AFCON U17 mwaka jana, hazikuingia kwenye akaunti ya TFF na wala wao hawajui zilitumikaje.

Ufafanuzi huo umekuja mufa mfupi baada ya Mkurugenzi wa TAKUKURU Brigedia John Mbungo, kusema wanafanya uchunguzi juu ya matumizi ya fedha ndani ya Shirikisho la Soka zikiwemo hizo Bilioni moja.

HUYU NDIE MAMA ALIETEMEWA MATE YENYE CORONA, AMEFARIKI MWENZIE ANAUMWA

Soma na hizi

Tupia Comments