Michezo

Hesabu za Guardiola zimekataa kwa Wolves

on

Club ya Wolves chini ya kocha wao Nuno Espirito wanaendelea kuwa mwiba mchungu kwa timu vigogo mbalimbali wa Ligi Kuu England, Man City wakiwa vibonde msimu huu.

Wolves wanaendeleza ubabe tena dhidi ya Man City kwa kuifunga 3-2, Wolves wakitokea nyuma na kuandika historia kwao kocha wao Nuno Espirito ya kuwa kocha wa pili kuwahi kumfunga Pep Guardiola nyumbani na ugeninj ndani ya msimu mmoja.

TOP 5 ya EPL ilivyo baada ya matokeo ya leo

 

Soma na hizi

Tupia Comments