Mix

VIDEOFupi: Kiasi cha deni na mikopo iliyotolewa na Bodi ya Mikopo (HESLB)

on

Leo July 11, 2017 Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, HESLB imetoa taarifa yake kuhusu hali ya urejeshaji wa mikopo ya wanafunzi walionufaika na mikopo hiyo ambapo kiasi cha Tsh. Bilioni 13,738,911,171.54 kimerejeshwa kutoka kwa mnufaika mmoja mmoja.

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo Abdul-Razaq Badru ameeleza kuwa idadi ya waliojiajiri wamejitokeza kwa hiyari yao wenyewe kurejesha mikopo waliyopewa wakati wakiwa masomoni.

VIDEO: Ulipitwa na uchambuzi wa Magazeti ya leo July 11, 2017? Bonyeza play kutazama hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments