Top Stories

“Tumelitupa Azimio la Arusha, tukaanza kuuza mashirika yetu” – Rais Magufuli

on

Rais Magufuli leo October 14, 2017 amehitimisha Mbio za Mwenge katika shughuli iliyofanyika katika Uwanja wa Aaman uliopo Mkoa wa Mjini Magharibi Visiwani Zanzibar ambazo ziliambatana na maadhimisho ya miaka 18 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Akiwa katika maazimisho hayo, Rais Magufuli alipata nafasi kuzungumza na wananchi.

Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Uwanja wa Amaan Zanzibar

Soma na hizi

Tupia Comments