Top Stories

PICHA 10: Kutoka Ikulu JPM akimwapisha Mwanasheria Mkuu na Majaji wa Mahakama Kuu

on

President Magufuli leo February 3, 2018 Ikulu Jijini DSM amemwapisha Dr. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Paul Ngwembe kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Pia amemwapisha George Masaju na Gerson Mdemu kuwa Majaji wa Mahakama Kuu

 

Kilichozungumzwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Naibu wake na Majaji baada ya kuapishwa na JPM

Soma na hizi

Tupia Comments