Leo July 1, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametua kwa mara ya kwanza katika Uwanja mpya wa ndege wa Chato akitokea Jijini DSM.