Video Mpya

VideoMpya: OdiiJambo wa JamboSquad ametuletea “Mangelepa”

on

Leo February 25, 2018 Moja ya Member wa Kundi la Jambo Squad, OdiiJambo ametuletea  Video ya Wimbo wake Mpya unaitwa ‘Mangelepa’ ikiwa imeongozwa na Director Dennis Mallya kutoka GrandMasterecs, Video ina Dakika 4: 36. Kingwendu yupo ndani ya Video, Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama.

Ukishaitazama usisahau kutoa maoni yako ili ODIIJAMBO akipita aweze kujua umepokeaje “Mangelepa”

HARUSI YA AY NA MPENZI WAKE REMY, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments