Top Stories

BREAKING: Tamko la Polisi juu ya Mwandishi aliyepigwa Simba Day

on

Leo August 10, 2018 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM, Lazaro Mambosasa amesema wameanza uchunguzi wa tukio la kupigwa kwa Mwandishi wa habari wa Wapo Redio, Silas Mbise  siku ya Simba Day.

Kamanda Mambosasa amesema polisi wameanza uchunguzi wa tukio hilo kwa kufungua jalada la uchunguzi wa picha hizo za video.

HISTORIA: Alivyopata jina Majuto | Kuacha Jeshi | Rekodi anayoshikilia | Umauti

MSIBA WA MZEE MAJUTO: LIVE kutoka Tanga maelfu wajitokeza Msafara ukielekea Msikitini

Soma na hizi

Tupia Comments